DMX AUZA MJENGO WAKE ILI KULIPA DENI
DMX Anauza jumba lake la kifahari alilonunua na mke wake Tashera Simmons mwaka 2000 kwa bei ya hasara ili kulipa faini Ktk kesi yake ya kukwepa kodi.DMX alitoka jela hivi karibuni baada ya kutumikia miezi 12 kwa kosa la kuficha mapato ya bilioni 4TzSh

Comments
Post a Comment